Siku Hazigandi
Mmh Mmh Mmh
Aiya ya ya ya yah
Chorus:
Yote mlosema,mlotenda,nasahau,nasonga mbele
Mangapi yamesemwa,mangapi nimeona
Mhh liosema Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa,mangapi nimeona
Eh nimesemwa sana jamani,Hamchoki?
Chorus:
Yote mlosema,mlotenda,nasahau,nasonga mbele
Mangapi yamesemwa,mangapi nimeona
Mhh liosema Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa,mangapi nimeona
Verse:1
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu,leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi,Msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki,hakuna alie msafi
Chorus:
Yote mlosema,mlotenda,nasahau,nasonga mbele
Mangapi yamesemwa,mangapi nimeona
Mhh liosema Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa,mangapi nimeona
Verse2:
Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanii kwa ukweni
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwapi tena nafasi
Ooh siku hazigandi,hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi,hakuna alie msafi
Break down!!!
Repeat verse 1 then chorus

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala