Pressure
Chorus:
(Hafsa)
Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda
Unajua ndo’ maana wanitesa
Sio siri honey wanipa Pressure,Pressure,
Pressure...
(Banana)
Pressure, Pressure, Pressure ya nini? X2
Nakutesa tesa na nini...?
Mbona mpenzi huniamini?
VERSE 1:
(Hafsa)
Kila tunapotoka eeeh, mi’narudi na
ndonya
Napigwa eti nawachukulia
Khadija naye nani? Mbona anasumbua?
Usiku hatulali simu kila mara
(Banana)
Sababu mane no maneno yako mpenzi
Sababu mdomo mdomo wako mammy
Nisiongee na wa u
(Hafsa)
Mbona wasichana pekeee!?
(Banana)
Labda ni madada zangu eee!
(Hafsa)
Mbona mabusu teleee!?
Wa Ulaya sipumui akija
Hata huduma inasitishwa
Niweke wazi naona mwenzangu huogopi
maradhi
(Banana)
Mama mama mamaa!
Hao wengine wadhamini
Repeat Chorus: (Hafsa)
VERSE 2:
(Hafsa)
Vipi kuhusu Anita, yule binti wa Morocco?
Acha yule Rose mwenye mtoto wakooo...
(Banana)
Kitanda hakizai haramu,
ile kweli damu yangu
Kuhusu huyo Anita mmmh!
Mbona sikumbuki?
(Hafsa)
Mbona kigugumiiizi!?
(Banana)
Sababu waniona mwizi
(Hafsa)
Mbona kigugumiiizi?
(Banana)
Mapenzi yameisha siku hizi
Repeat Chorus: (Hafsa)
Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda
Unajua ndo’ mana wanitesa
Sio siri honey wanipa Pressure, Pressure,
Pressure...
(Banana)
Pressure, Pressure, Pressure ya nini X2
Nakutesa tesa na nini...?
Mbona mpenzi huniamini?
(Hafsa)
Nakupenda, nakuheshimu lakini huna aibu
Nakupenda, nakuheshimu lakini sina imani
tena na wewee!
(Banana)
Kama zamani na sasa kuna tofauti
nisamehe..!
Kama zamani na sasa kuna tofauti
tumalizee tofauti zetu ehh!
Mimi na weweee!.....tofauti zetu ehh!
(Hafsa)
Allan Mapigo,Said Comorien..
Banana ananitesa eeh!

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala