Tafuta DHWTangazaTuandikie
Nimekubali

Chorus

Nimekubali kwamba wewe ni kifaa
uzuri wako we umepitiliza
nimeshambiwa juu ya wema wako wee
sasa leo nimekoma mwenyewe

nimekubali kwamba we ni mzuri
nimekubali na tena nimekiri
kwani nimeshambiwa juu ya wema wako wee
sasa leo nimekoma mwenyewe


Verse 1 (Mez B)

Wengi wameumbwa
ahaa
lakini we umeumbika
ahaa
nijibu hivi we ni binadamu au malaika?
ahaa
watu walishaniambia
ahaa
mi nikawabishia
ahaa
leo nimekuona mwenyewe
sisifii
nasema nimekubaliii

Chorus

Nimekubali kwamba wewe ni kifaa
uzuri wako we umepitiliza
nimeshambiwa juu ya wema wako wee
sasa leo nimekoma mwenyewe

nimekubali kwamba we ni mzuri
nimekubali na tena nimekiri
kwani nimeshambiwa juu ya wema wako wee
sasa leo nimekoma mwenyewe


Verse 2

ehh unapoaniangalia
ahaa
mi nguvu naishiwa
ahaa
nami natamani uniongeleshe
nipate kukusikia
ahaa
kila unapokatiza
ahaa
watu wanakushangaa
ahaa
hata wasichana wenzio
wakikuona wanakubalii


Chorus

Nimekubali kwamba wewe ni kifaa
.......ohohohh
uzuri wako we umepitiliza
.......pitilizaaaa
nimeshambiwa juu ya wema wako wee
sasa leo nimekoma mwenyewe

nimekubali kwamba we ni mzuri
..........mzuriiiiii
nimekubali na tena nimekiri
kwani nimeshambiwa juu ya wema wako wee
..........uuyeeehhh
sasa leo nimekoma mwenyewe

nasemaaa ohhh ehhhh
aahh ahh ahh ahh
mtoto mzuri anapendeza
..............anapendezaaaa
ahh ahhh ahh ahh ahhh



verse 3 (Mh.Temba)

Kama zali mwanangu
kama zali mwanangu
kachaa wangu
bahati usiichezee hiyo
kawaulize wenzio
walishamfukuzia binti
mpaka wakachukia
wengi tunamtamani huyu
mimi mwenyewe ni mmoja wapo
mi nilikwambiaga bwana kuna
watoto wameumbwa
lakini huyu amepitiliza
wengi anatuumiza
nakaa najiuliza
sijui nimwelezeeje
sijui nimsimuliejeee
kusema uongo zambi
sura anayo
mguu anao
maeneo ya kati sasa
duh ah
kama amechongwa
mapaja yamejaajaa dah
kumwangalia tu raha
ni mtoto wa kishua
home haipiti siku mboga nane
mwanangu mbane
mng’ang’anie mkajichane
mmalizane
ukimwacha huyo leo
kumpata tena mwakanii
atachukuliwa na jirani
mwaga fiksi uongo
mtoto aingie line
ukamalize kiulaini
mwenyewe ameshabweteka
humuoni anachekaa
ahaaa
MJ
ahaaa
anamtesa huyuuu Bintii


Chorus

Nimekubali kwamba wewe ni kifaa
uzuri wako we umepitiliza
....pitilizaaaa
nimeshambiwa juu ya wema wako wee
sasa leo nimekoma mwenyewe
ohh ohhh
nimekubali kwamba we ni mzuri
.........mzuriiii
nimekubali na tena nimekiri
kwani nimeshambiwa juu ya wema wako wee
sasa leo nimekoma mwenyewe


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |  Print nakala

 

Archive:

Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.