Tafuta DHWTangazaTuandikie
Mr Blue

Chorus

ohh,ohhh
Nilikataa,Nilikataa
sasa nimekubali wee
Nilikataa,Nilikataa
sasa nimekubali wee
Nilikataa,Nilikataa
Sasa nimekubaliiii
Nilikataa,Nilikataa
Sasa nimekubaliiii

Verse 1 (TID)

Uhhhhh
walisema demu wangu
kwamba wewe kicheche
Uhhhhh
magari ya kifahari
yanakupa mawenge
Uhhhhh
kumbuka mapenzi yangu
hakuna zaidi ya wewe
Uhhhhh
maneno mengi
hayavunji mfupa
maneno ni mengi
mwenzio siwezi
usingizi sipati
najuta mapenzi
kupenda sitaki tena
unanipa wazimu
maringo ni yako
yananipa wakati
wakati uhhh
sasa mimi
nimekubaliii weeeeeee


Chorus

Nilikataa,Nilikataa
sasa nimekubali weeee
oh ohh
Nilikataa,Nilikataa
sasa nimekubali wee
Nilikataa,Nilikataa
Sasa nimekubaliiii
ehhhhhh
Nilikataa,Nilikataa
nimekubaliiii
Sasa nimekubaliiii


Verse 2 (Qchilah)
Uhhhhh
Unajifanya mjanja
Uhhhhh
kumbe bonge la mshamba
Uhhhhh
unadaka mikwanja
Uhhhhh
kumbe demu wa viwanjaa
gheto usije
demu mapepe
full kicheche
ohh,ohh
* sipe
najuta kupenda
ulichonitenda
yeahh
uliniacha mi mpweke
ukisubiri niteseke
kina fulani wanicheke
Darling yeahhhh,yeahhhh



Chorus

Nilikataa,Nilikataa
sasa nimekubali wee
ohh..nooooooo
Nilikataa,Nilikataa
oyeahhhh
sasa nimekubali wee
Nilikataa,Nilikataa
ehhh.ehhhhhh
Sasa nimekubaliiii
Nilikataa,Nilikataa
Sasa nimekubaliiii


Verse 3 (Blu)

Sikia
love imegeuka glass*
mara tugonge cheers
silipi kisasi
na nitatoka cheers*
bora nije kwa risasi*
umenishoot nishajifia
ila moyo inanipain*
basi navumilia
mbona mi nasikia
halafu na bushit
watu wakiniambia
nawaona wazushi
cmon message imefika
ma psee hit back*
kwangu malaika*
nafeel this track*
niko me na TID
tunalia everyday
hata kula sijisikii
muulize hata master Jay
niko tu
saa zingine nakuwaza kila saa
naona kama wana bana
ukishine nakachaa
ahh
ukiwa haupo nakumiss
ila siamini nikiondoka
unanidis
na
nataka tuishi kwa peace
pse mi niamini
kukuacha sio rahisi


Chorus

Nilikataa,Nilikataa
sasa nimekubali wee
ohh..nooooooo
Nilikataa,Nilikataa
oyeahhhh
sasa nimekubali wee
Nilikataa,Nilikataa
ehhh.ehhhhhh
Sasa nimekubaliiii
Nilikataa,Nilikataa
Sasa nimekubaliiii


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |  Print nakala

 

Archive:

Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.