Chochote utapata
aha
Chorus
Kama ni penzi labda utapata
ukimwacha
..........niambie nani huyo?
may be chochote utapa
unachokitaka
.........ndio nachotaka hicho
nasema penzi labda utapa
ukimwacha
..........niambie basi nani huyoo?
ohh baby vyote utapata
ukirejea hapa
........ndio nalotaka hilo
Verse 1
Kila siku kaka unanifuata
aha
unadai ya kuwa unanitaka
.......ndio ukweli
eti unanipenda unaniweza
hulali bila mimi kuniona
pesa unaleta sijakuomba
naishi home kwetu bila shida
..........makaratasi tu hayo
unanishangaza
wewe unamchumba
sasa kwangu ni nini unataka
na anavyokupenda
nimeshasikia
nadhani ukimwacha atadata
Chorus
Kama ni penzi labda utapata
ukimwacha
..........nani tena huyo?
may be chochote utapa
unachokitaka
.........ndio nachotaka hicho
nasema penzi labda utapa
ukimwacha
..........niambie basi nani huyoo?
ohh baby vyote utapata
ukirejea hapa
........ndio nalotaka hilo
Verse 2
oh no no no
penzi kwangu ni thamani
................najua hilo
kutumiwa sikubali
................sijaja kwa hilo
naona kama unanigasi
**sitaki
ondoka nenda zako mbali
ehh hee hee hee
................tuliza hasira baby
Chorus
Kama ni penzi labda utapata
ukimwacha
may be chochote utapata
unachokitaka
nasema penzi labda utapa
ukimwacha
ohh baby vyote utapata
ukirejea hapa
Verse 3 (Baba styles)
hey hey hey
Mchumba ni damn no
ninatacho si game no
si kwa dos wala fame no
easy X5,Benz au Lexus
kinachokufaa ni penzi au ni Lexus
usinizungushezungushe
mpaka nikalia
au furaha yako
mpaka kidume nidondoshe tears
penzi ndio Bonge la zawadi
na wewe si unalihitaji
niweke mimi incharge
nikupe
kuna vyovyote
ninavyosaka
wababaikizi
chaaa........
ni hivyo mimi nataka...
yeahhh
kuitwa playboy sipendi me
so baby girl would you marry me
yeh yeh yeh
Chorus
Kama ni penzi labda utapata
ukimwacha
.....................nimeshamwacha
may be chochote utapata
unachokitaka
nasema penzi labda utapa
ukimwacha
.....................nimeshamwacha
ohh baby vyote utapata
ukirejea hapa
.....................ndio nalofwata
haha
Ni KLyinn
Klyin baby
na baba styles yoh
noorah
Said comoriee
Chorus
Kama ni penzi labda utapata
ukimwacha
may be chochote utapata
unachokitaka
.............oohh yeahh
nasema penzi labda utapata
ukimwacha
.............oh nono
ohh baby vyote utapata
ukirejea hapa
yeah yeah
Kama ni penzi labda utapata
ukimwacha
may be chochote utapata
unachokitaka
Nasema penzi labda utapata
ukimwacha
ohh baby vyote utapata
ukirejea hapa
Kama ni penzi labda utapata
ukimwacha
may be chochote utapata
unachokitaka
Nasema penzi labda utapata
ukimwacha
ohh baby vyote utapata
ukirejea hapa

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala