Vaileth
Chorus:
Watu walishachonga sana,
Eti Vaileth simpati tena,
Na kuongea uzushi bwana,
Kwa kuona mambo yetu yananyooka,
Hata kiss, hug sipati oh mama, baby X2
Vese 1:
Mi na huyu demu tunapendana,
Sisi kila sehemu mimi naye
hatutoachana,
Kwenye shida na raha sisi
tunapendana,
Bora tunapendana,
Mseme msemavyo tutazikana,
Mi na Vai hatutoachana,
Mbane mbanavyo tutazikana,
Mi naye hatutoachana,
Wanaogombana wanapatana,
Nikikuudhi naomba unisamehe,
Kama kadi I’m sorry mpenzi nikuletee,
Semaa unachotaka,
Chochote unachotaka
nitakupa maa,
Baby usiwe na pupa,
usiwe kama fisi unataka mfupa,
Wewe Vaileth amini we ndo
my sweet heart,
Mi napenda unavyodeka,
Unavyocheka mwili
unaweweseka.
Chorus:
Watu walishachonga sana,
Eti Vaileth simpati tena,
Na kuongea uzushi bwana,
Kwa kuona mambo yetu yananyooka,
Hata kiss, hug sipati oh mama, baby X2
Verse 2:
Vaileth njoo Vaileth usihofu,
Vaileth usifanye chochote
itakuwa soo,
Kwani mi mwenzako Tonya
nakupenda sana,
Ziba masikio wanafiki
watakudanganya,
Vaileth basi usiwe na wasi,
Ushanikataza nastop kuvuta
nyasi,
Kuna mazuri baby utakuwa
huyapati,
Kipindi kile we utaponisaliti
weee,
Vaileth we ndo keki wengine
feki,
Wataolewa hawariziki we,
Mi na wewe tu, we ndo
wangu sister du,
Usiwe na makuu nasisitiza
we ndo my au,
Vaileth usininyanyase mie,
Vaileth nini nikununulie.
Chorus:
Watu walishachonga sana,
Eti Vaileth simpati tena,
Na kuongea uzushi bwana,
Kwa kuona mambo yetu yananyooka,
Hata kiss, hug sipati oh mama, baby X2

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala