Tafuta DHWTangazaTuandikie
Haya Mapenzi Gani

Verse 1

Huamini miujiza mchumba sauti ya nyuki
inasikika,Sogea karibu ’baby’
’time’ zishafika,

Unipe uhuru ’dear’ ni’kiss’ nnapotoka,
Tukae mlimani dear
niwe ’free’ ndani ya kopa,
Penzi kwa fujo my boo
moyo wangu ushauteka,
Raha ya Afrika RTD
mimi ndo ’one naskika.


Hivi kwanini dear,
Moyo wangu unautesa,
Hivi hushoboki dear
Inavyonipenda East Africa’,

Yee yee dear, I need you dear,
Oooh dear, I Love you my baby X2


Chorus

Haya mapenzi ni kitu gani,
Muda nawaza mpaka nimechoka
Vile Dog mimi nina jina,
Mashori wengi tu wanashoboka,

Nnayempenda mimi
hanipendi,
Nnachotaka kwake...mi sipati,
Kukataa mpenzi...ana haki nami
kumuacha moyo hautaki.




Verse 2

Naamini wenye tamaa ni wengi,
Wachache wanajua kupenda,
Ninakupenda we kwa moyoo,
Ukiniacha mi ntakonda.

Company yetu wote makachaa,
Kuhusu mabitozi hakuna kabisaa,
Jimix’ na Magangsters baby upate rahaa
Hoo nakondaa kabisaa.

Wazuri kibao wananipenda,
Siwajali mimi nawatesa,
Cha ajabu yule wangu wa moyoo,
Yeye hanitaki kabisaa.

Company yetu wote makachaa,
Kuhusu mabitozi hakuna kabisaa,
Jimix na Magangsters baby upate rahaa
Hoo nakondaa kabisaa.

Mwambieni mi kama ntakufa,
Kifo changu amesababisha,
Simlazimishi ye kunipenda,
Ila mwambieni ananikondesha.
Nampenda mpenzi mikachaa,
Nisipo mwona Dog sina raha,
Mwambieni wangu sinyoraa,
Yiiii yii yiii nampendaa.

Yiii yii yii dear ...I need you dear
Ho no ho dear, I love you ma baby, X2


Chorus

Haya mapenzi ni kitu gani,
Muda nawaza mpaka nimechoka
Vile Dog mimi nina jina,
Mashori wengi tu wanashoboka,

Nnayempenda mimi
hanipendi,
Nnachotaka kwake...mi sipati,
Kukataa mpenzi...ana haki nami
kumuacha moyo hautaki.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki |  Print nakala

 

Archive:

Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.