Sogea
Come to me baby boy
Chorus
Sogea sogea we cheza nami aha
nikikutizama nawe upate raha
usitazame pembeni jua you are my men
usitazame pembeni jua you are my men
Sogea sogea we cheza nami aha
nikikutizama nawe upate raha
usitazame pembeni jua you are my men
usitazame pembeni jua you are my men
Verse 1
siku ya kwanza uliponitokea
nilishindwa hata kujizuia
karibu nawe nikakupitia
haya nguvu nikapotelea*
tabasamu nikaliachia
viungo vyote vilinilegea
pale nawe uliponiitikia
maungo yote yakasisimka
nimeshakupenda...nimekuzimia
sijiwezi tena hata kusogea
Chorus
verse 2
embu nitazame ninavyoumia
naomba useme umenipokea
nataka niwe nawe katika dunia
nakupenda sana sitakuachia
ukweli wangu nimeshakwambia
penzi kikohozi dawa naijua
...ukweli wangu nimeshakwambia
penzi kikohozi dawa naijua
Njoo nibembeleze
nakuaminia
nipe raha baby
nimekuzimia
Chorus
Sogea sogea we cheza nami aha
nikikutizama nawe upate raha
usitazame pembeni jua you are my men
usitazame pembeni jua you are my men
Sogea sogea we cheza nami aha
nikikutizama nawe upate raha
usitazame pembeni jua you are my men
usitazame pembeni jua you are my men
Verse 3
Come to me baby boy
i wanna hold you
kiss you..nakutakataka
Come to me baby boy
ninakutamani...ninakuhusudu
niwe wako baby
nipe nipe mambo
Come to me baby boy
Chorus

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki |
Print nakala