Pipi ya kijiti
(Intro)
(Verse 1 :Langa)
Madem wengine wanapenda maua ya waridi
Si bora pipi ya kijiti unakula unafaidi
Wengine wanapenda magari au uwape mitaji
We haupendi vya bei ghali wala kuchagua zawadi
Najua unaponihitaji, I’m always there for you
Give you a fair share cause I always care for u
Do things that most guys won’t even dare to do
To make sure we stick together just like a pair of shoes
Mimi na wewe kama Bonnie na Clyde
Ikipita siku moja sikuoni I’ll die
Ma phony homie wamesha try, kunipindua
Wengi moyoni hawa furahi,kuona umenichagua
Najua umechoka ice cream,ina kuumiza meno
I wanna give u nice things, ukinipa upenyo
(Chorus: )
Langa: Sweety nimekumissi, siku naona wiki
Acha hadithi sungura na fisi
Nataka kukupa pipi ya kijiti
Nyangi: Nami nimekumissi siku naona wiki
Acha uzushi,acha fiksi
Nipe pipi ya kijiti
(Verse 2:)
Tamu kama asali Ndefu kama mpini
Urefu nchi ishirini lazma uchoke ulimi
Wengi wanajiuliza unanipendea nini?
Hiyo ni siri yetu tu wewe na mimi
Hawajui pipi ya kijiti ndio inajenga shepu
Masugar daddy kila siku wanabugi stepu
Raha ya pipi ya kijiti kula bila maganda
Pata raha halisi usisikilize propaganda
Pipi nzuri inanukia hata siku moja hainuki
Ndio maana inafichwa haiachwi uchi
Pipi ya demu wangu mtu mwingine simpi
Ni hatari kama serikali kubinafsisha nchi
Una figa una akili unajua kupiga dili
Una kila sababu ya kuwa hata waziri
U hot,hot,hot like pili pili
And if u didn’t know that’s Chili in Swahili
(Chorus)
(Verse 3: Nyangi )
Sina mwingine tena,pendo langu pokea
Sina mwingine tena ,pendo langu pokea
The way you treat me, The way you touch me
The way u kiss me, the way u love me
(Chorus)
(Bridge:)
Langa: Watoto wanapenda nini….Pipi
Madem wanapenda nini…Pipi
Na machiz kama mimi….
Nyangi:Watoto wanapenda nini…Pipi
Wakubwa wanapenda nini…pipi
Na madem kama mimi….
(Chorus ) X 2
Mtumie Rafiki |
Print nakala