Kalunde Band itakuwa juu-Deo
Deo Mwanambilimbi ni mmiliki wa bendi yake ya Kalunde Band alisema lengo lake ni kulifanya kundi hilo kung'ara hadi nje ya mipaka ya nchi.
Mwanambilimbi alisema ndoto zake anataka ziwe ni za kweli na lengo ni kutaka kupata mafanikio yatakayotingisha anga ya muziki wa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Dunia nzima.
Mwanamuziki huyo alikuwa hapo awali alishawahi kuwa katika kundi la Chipolopolo, alisema kila baadhi ya watu wanaamini kwamba wenzao hawawezi kufikia mafanikio kama waliyofikia watu wengine.

Gonga hapa kutoa
maoni yako kuhusu story hii...!!!

Gonga hapa kusoma
maoni hayo...!!!
Mtumie Rafiki
Print nakala