Tafuta DHWTangazaTuandikie
Sasa ni zamu yangu! - Sara

Ni nyimbo ambayo itabeba album yake ambayo ameibatiza jina la 'Zamu yangu' ambayo itakuwa na mipini yenye ujazo wa



Akiongea na Darhotwire Sara ambaye yupo town kwa sasa baada ya kusitisha masomo amesema album iko tayari.

...Album iko tayari na sasa ni zamu yangu na itatoka hivi karibuni wakati wa Pasaka...alisema Sara

Sara alisema Video ingetoka kitambo ila tatizo ilikuwa location zingine za kufanyia video hiyo..zilikuwa zikimuhitaji apate vibali kutoka kwa wahusika!! lakini anashukuru mungu alifanikiwa na amewataka wapenzi wake wakae mkao wa kula.

Haya Sara Sara sie tunakusubiria kwani sasa ni Zamu yako


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.