Tafuta DHWTangazaTuandikie
Sina tabu ya kwenda Solo!

Baada ya ya wadogo zake kuonekana kubanwa zaidi na maisha yao binafsi,Rahima Kipozi...ambaye ndiye kiongozi wa kundi la Unique Sister au Unique Dadas'...huenda akaamua kutoka kivyake (Solo).



Hata hivyo mdada huyo alisema,uamuzi wake huo usichukuliwe kuwa ni kuvunjika kwa kundi...kwani kundi bado liko palepale na halitaathirika kwa njia yoyot ile.

Akiendelea alisema...kila mmoja wao sasa amekuwa na majukumu yake yanayombana hivyo...haoni haja kwasasa kuwasubiri wenzake kwani ana kila sababu ya kufanya kazi kivyake bila hata kuliathiri kundi...na tayari mpaka sasa ameshaanza maandalizi ya kurekodi track kadhaa.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.