Tafuta DHWTangazaTuandikie
Asha atolewa mchanaga wa macho

Kwani kuondoka kwa mwimbaji nyota wa bendi ya Tanga Pepeta International Ally Choki, kwani kumemtoa mchanga wa macho Mkurugenzi wa ASET Asha baraka baada ya kutangaza mikakati mbalimbali ya kuliimarisha kundi hilo.



Mkurugenzi huyo alisema kuanzia hivi sasa hawataki mastaa katika bendi yao, kwani wanataka wafanye kazi kama timu yaani wawe kama bongo fleva na siyo mtu anakuwa juu ya mwenzake.

Alisema mikakati ya kuziimarisha bendi hizo mbili ni pamoja na pangua pangua katika kikosi cha Chipolopolo, ambacho kitakuwa na wanamuziki 25 tu.

Kalala Junior na Msafiri Diouf watakuwa ndani ya Twanga Pepeta na watakutana na wenzao akiwemo Chalz Baba, Khalid Chokoraa, Salehe Kupaza, Ferguson, Amigo, Luiza, Janeth pamoja na Kimobiteli.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.