Tafuta DHWTangazaTuandikie
Wanaume Family Vs Halisi!

Hatimaye makundi mawili maarufu yaliyozaliwa na baba mmoja na baadae kutengana....yatakutana uso kwa uso kwenye mpambano mkali na wakutisha utakaofanyika Aprili 11 kutafuta nani mkali kati yao ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee.



Kwa mujibu wa waandaaji wa mpambano huo,makundi hayo mawili.... Wanaume Halisi na TMK Wanaume Family yamepambanishwa ili kujua nani ni bora.

"Muziki umeingia mtaani na umesikika, kila mmoja anadai yeye ni zaidi ya mwenzake kwa mdomo imeshindikana, atakaeamua nani mkali ni jukwaa na mashabiki wenyewe wa muziki wa kizazi kipya," .

Alisema baada ya Dar es Salaam, makundi hayo yatafanya ziara mbalimbali mikoani.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.