Tafuta DHWTangazaTuandikie
Tusubirini Rwanda/Burundi!

Kundi la 'Wanaume TMK' likiwa chini ya uongozi wa Mh.Temba...linatarajiwa kupiga show 2 za kufa mtu kwenye ardhi ya Rwanda pamoja Burundi ikiwa ni njia ya kujitambulisha vyema kwenye soko la nchi hizo.



Akiongea na DHW,Meneja wa kundi hilo, Said Fella, alidodosa kuwa onyesho la kwanza limepangwa kufanyika April 5 Bunjumbura,Burundi na baada ya hapo wataelekeza makamuzi yao nchini Rwanda ambapo wamepata mwaliko wa kukamua Tarehe 20 April ndani ya Uwanja wa Amahoro mjini kigali.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.