Tafuta DHWTangazaTuandikie
Chimbo kumalizia mawe-Chid

Napenda kumwita mkali wa Colabo kwasasa hapa Bongo...na naamini hakuna anayeweza kubisha kususu hilo!....kutokana na uwezo wake wa kutisha katika makamuzi ya kila track anayoshirikishwa na wasanii mbalimbali wanaomgombea kufanya nae kazi kila kukicha.



Huyu sio mwingine namzungumzia Chid Benz....kutoka famila la 'LA FAMILIA' la hukoo Ilala...ambaye hivi majuzi tu ameitonya DHW...kuwa anatarajia kuingia chimbo kwa muda usiojulikana kwa ajili ya kazi umaliziaji wa albam yake mpya...na amewaomba wapenzi wake

..."Niko ktk maandalizi ya kukamilisha baadhi ya songi za albam yangu mpa...ninachowaomba masela wangu..wasichoke kusubiri...wakae mkao kula kusubiri mawe ya kutisha nitayoyaangusha hivi karibuni". alimalizia.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.