Tafuta DHWTangazaTuandikie
Mr Paul aibukia Sydney!

Baada ya kimya cha muda mrefu...msanii wa miondoko ya RnB, Mr Paul..aliyewahi kutesa sana hapo miaka ya nyuma kabla ya kuamua kwenda kujipiga msasa skuli..ameibukia nchini Australia.



Taarifa zilizotufikia kutoka kwa shuhuda wetu aliyepo jiji la Sydney..zilisema kuwa msanii huyo alipiga show kadhaa ndani ya jiji hilo na kukonga nyoyo za wabongo wengi waliohudhuria onyesho lake ambalo liliweza kuwakumbusha mbali kwelikweli.

Habari zingine za kuaminika zilizotufikia zilisema kwamba...kabla ya kurudi..anatarajia kurekodi track kadhaa nchini humo ktk studio moja ya kisasa iliyopo jijini hapo.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.