Tafuta DHWTangazaTuandikie
Tulizeni mzuka,nitarejea!

Msanii mrembo wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya...almaaruf kwa jina la 'Besta' ameibuka mwishoni mwa wiki iliyopita na kudai kuwa kimya chake kina ujumbe wa kurudi kitofauti na wengi wanavyofikiria.



Toto hilo la kihaya lilidiriki hata kujigamba kuwa kwa jinsi anavyojiamini...anauwezo hata wa kutoka na single mpya kila wiki...lakini hana haja ya kukurupuka wala kufwata mkumbo wa wasanii wengine...kwani anataka kuja kutoka na vitu vitakavyokonga vyema nyoyo za wapenzi wa muziki wake hapa East Africa.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.