Tafuta DHWTangazaTuandikie
Adili na DVD Magazine!

Anakwenda kwa jina la Adili...ila wengi tumekuwa tukimfahamu kwa jina la HIsabati,kwa taarifa yenu ni kwamba msela huyu ambaye pia ni mmiliki wa kampuni la Chokambaya....anajiandaa kuja na kitu tofauti kidogo...ambacho ni DVD Magazine.



Hayo aliyaweka wazi hivi karibuni na kudai kuwa yupo kwenye hatua za mwishomwisho tu kumalizia project hiyo...ambayo ndani yake itakuwa na manews pamoja na matukio mbalimbali ya muziki wa Bongo yakienda sanjari na picha za video za matukio hayo.


 Gonga hapa kutoa maoni yako kuhusu story hii...!!!
 Gonga hapa kusoma maoni hayo...!!!

 Mtumie Rafiki  Print nakala

 

Archive/Kumbukumbu:


Copyright © 2007 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.