Majeruhi wakiwahishwa hospitali kwa gari la Tanesco
Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogo Adolphina Chialo, nae alikuwepo
Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogo Adolphina Chialo, akishangaa basi lililopata ajali
Majeruhi akichomolewa kwenye basi hilo
Majeruhi wakiwahishwa hospitali
Abiria waliopona wakijaribu kujiokoa
Hapa ilikuwa baada tu ya ajali
Majeruhi wakichomolewa
Basi la Moro Best baada ya ajali
Makanda walikuwepo pamoja na waandishi wa habari bila kukosa
Trafiki akichukua maelezo
Trafiki akimuokoa mtoto aliyepata ajali
Galleries