jangwani
mvua ya leo
Jangwani hiyo leo
Magomeni
jangwani leo
Escodo iliyokuwa eneo la kamanyola sinza ilikuwa imepati barabarani na kusogezwa hapo ilipo
Kamanyola sinza
Dar mafuriko ya mvua kila kona
Wakazi wa eneo la uzuri darajani wakikusana vitu vyao kuhama makazi yao
Nilikutana na muuza DVD na CD akiwa anaokota bidhaa hizo baada kuathiriwa na mvua ya leo maeneo ya uzuri rarajani sinza
Hiyo ni Jangwani
Maeneo ya Jangwani leo
Jangwani
Hiyo ndo daladala iliyonasa pale Jangwani ikiwa imesheheni abiria..je watatokaje jamani mpaka huruma
mkazi wa jangwani ambaye sikuweza kupata jina lake alikuwa akijariibu kuokoa baadhi ya vitu
magomeni karibu nakituo cha police leo
Eneo la Jangwani leo
wakazi wa jangwani wakijaribu kuokoa baadhi ya vitu vyao
Jangwani hiyoo
ngoma jangwani
wakazi wa jangwani wakiwa ktk eneo la tukio
darajani jangwani
kitu cha jangwani
Kitu cha jangwani leo
Galleries
|
4 images
|
9 images
|
9 images
|
32 images
|



