Bwana Harusi akiapa.
Maharusi wakiwa wamepozi na wadau
Kutoka mkono wa kushoto ni Mbunge wa jimbo la Ubungo (CHADEMA), Mh. John Mnyika, Bibi harusi pamoja na mdau wakiwa wamepozi
Maharusi wakionyesha vyeti vyao vya ndoa mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani)
Maharusi wakikabidhiwa vyeti vya ndoa yao
Kulia ni Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (CHADEMA) Mh. Godbless Lema na mkewe ambao walikuwa ndiyo wapambe wa harusi ya Joyce Kiria na Henry Kileo
Maharusi wakilishana
Bwana harusi akiwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika.
Wakiwa na mama mzazi wa bwana harusi.
Pichani kushoto ni Bwana harusi Henry Kileo na Mkwewe Joyce Kiria wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungishwa ndoa
Wakiwa baba mzazi wa bwana harusi.
Maharusi wakiwa na mtoto wao Lincolin.
Maharusi wakiwa na mtoto wao Lincolin.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akiwa na mke wake, Neema Lema, waliokuwa wasimamizi wa ndoa.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akiwa na mke wake, Neema Lema, waliokuwa wasimamizi wa ndoa.
Akiweka saini kwenye mkataba wa ndoa.
Wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
Joyce Kiria akiingia ukumbuni na mpambe wake, Neema Lema, ambaye ni mke wa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema.
Henry akivalishwa pete na mkewe.
Bi Harusi akifanya vivyo hivyo.
Bibi harusi Joyce Kiria akiwa amepozi huku akismile kwa furaha siku ya jumamosi baada ya kufunga ndoa na halfa fupi ilifanyika kwenye Hoteli ya Atrium iliyoppo Sinza hapa Jijini.
Galleries



