Vimwana wa Bongo Movie wakielekea uwanjani kushuhudia upokeaji wa kombe lao.
Vimwana wa Bongo Movie wakielekea uwanjani kushuhudia upokeaji wa kombe lao.
Rich Mtambalike "Rich Rich" kulia pamoja na Steven Nyerere wakimwaga mauno katika moja ya staili yao ya kushangilia ushindi wa timu yao ya Bongo Movie.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik akiingia kwenye uwanja wa Taifa tayari kwa kutoa kombe kwa washindi mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo
Refarii wa mchezo wa leo Bw. Othman Kazi akikabidhi kombe kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Said Meck Sadik ili naye akabidhi kwa washindi wa mchezo huo.
Vituko huwa havikosagi
Wachezaji wa Bongo Movie wakishangilia mara baada ya ushindi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwa katika picha ya pa,moja na wachezaji wa timu ya Bongo Movie mara baada ya kuishinda Kadanse FC goli 4-3 kwenye uwanja wa Taifa leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dsm Said Meck Sadik akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Bongo Movie Vicent Kogosi (Ray), katika mchezo wa wanamuziki na waigizaji uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa, kuchangia wahanga wa mafuriko
Benchi la ufundi la Wanamuziki likiongozwa na Asha Baraka wa tatu kutoka kulia waliosimama na kulia ni MCD wa Twanga Pepeta, Yelo Masai wa FM Academia na kushoto ni Jose Mara wa Mapacha Watatu
Hili ndiyo benchi la ufundi la timu ya Bongo Movie likogozwa na Mzee Chilo kushoto, JB Steven, Saimon Mwakifwamba na Cheki Budi.
Mwanamuziki wa FM Academia Totoo Kalala akiukokota mpira kiuelekea goli la timu ya waigizaji wakati chezo huo ukiendelea kwenye uwanja wa Taifa.
Mwanamuziki Christian Bella wa bendi ya Akudo Impact katikati akiongozana na wenzake wakatika wachezaji hao waliposawzisha goli lao
Wachezaji wa Bongo Movie wakiongozwa na Claudi wakishangilia kuzunguka uwanja mara baada ya mpira kumalizika huku timu yao ikiibuka mshindi kwa kushinda magoli 4-3 dhidi ya Kadanse FC ya wanamuziki.
Galleries



