Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi mashine za kuzzalisha umeme, wakati alipotembelea katika mradi huo uliopo Wilayani Mbinga akiwa katika ziara yake ya moa wa Ruvuma, jana februari 16, 2012. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Tanesco, Eng. Boniface.