Diwani wa Ubungo Boniface akibadilishana mawazo na vijana wenzake
Waombolezaji
Nikiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe, leo tarehe 15 kwenye Maombolezo ya msiba wa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chadema, marehemu Regia Mtema huko Tabata hapa jijini jana...tukiburudika na Tenzi za Rohoni..Mungu ampumzishe dada Regia mapala pema peponi..Amina
Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe, jana akiwa na waimbaji
Galleries
|
21 images
|
5 images
|
9 images
|
3 images
|



