Mheshimiwa Freeman Mbowe akiwasili kwenye Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoani Arusha
Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe akiingia ktk ofisi za mkoa za Jeshi la Polisi mkoni Arusha leo,aliyevaa nguo nyeusi ni Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema, Joyce Mukya
Mheshimiwa Freeman Mbowe akitafakari jambo ndani ya Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa Arusha
Mkuu wa Operation wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha,Saimon Pilo (kulia) akiwa amempokea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
Akitoka ndani ya ofisi hizo
Galleries