Mh. Zitto Kabwe akikanyaga ugali alipokuwa ziarani mkani Iringa
Mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu, Dar es Salaam. Princess Astrid alifuatana na mumewe, Prince Lorenz
Bi shosti akiwa kazini
Wananchi wakishangaa Lori la kubeba zege la Kampuni ya Dippsi, likiwa limelalia basi dogo aina ya Toyota Hiace
Mama Salma Kikwete akizindua SACCOS ya Salma Kikwete Ltd iliyopo kijiji cha Hoyoyo wilayani Mkuranga mkoani Pwani – Mei7,2011
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akimkabidhi Shujaa wa Safari Lager.
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawa akipokea simu ya mkononi inayotumia mwanga wa jua toka Vodacom
Mchungaji Ambilikile Mwasapila (katikati) akipokea simu ya mkononi yenye kutumia nguvu ya jua ikiwa na muda wa maongezi wa sh 50,000 toka Vodacom
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawa akikata utepe kuzindua huduma ya M pesa inayotolewa na kampuni ya Vodacom Tanzania
Tuzo ya Mpiga Picha bora wa magazeti, ilienda kwa Bashir Nkoromo 'mzee wa chachandu' (kulia)
Mkurugenzi wa Executive Solution , Aggrey Marealle,kushoto, akitoa tunzo kwa mchora katuni bora
Sam akipongezwa na bosi wake, Mzee Mengi
Mtangazaji wa ITV, Sam Mahela (kulia) naye akiambulia yake
Bosi wa Azam FC, Bw. Mohamed Abeid akikabidhi tuzo kwa mwandishi wa Mwananchi Bi. Sheila
Dorcas akichekelea tuzo yake
Mkurugenzi wa ITV/Radio One, Bi Joyce Mhaville (kulia) akimkabidhi tuzo mtangazaji Dorcas Raymond wa Channel Ten
Mtangazaji wa Radio Mlimani (Tuma Dandi) kulia, akipokea tunzo yake baada ya kuibuka kidedea
Mtangazaji wa TBC1, Masoud Masoud (kulia) akipokea tunzo yake
Bw. Mengi akiwa na Jaji Mstaafu, Mark Bomani
Mwandishi wa ITV, Festus Sigamonamo (kulia) akipokea tunzo yake kutoka kwa Bi. Fauziat Aboud
Majaji wasataafu wakiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Bi. Blandina Nyoni (kulia)
Mweneyekiti wa IPP, Bw. Reginald Mengi akiwa na baadhi ya waandishi walioshinda tuzo hizo
Tafakari chukua hatua...
Wakazi wa Kijiji Kidomole, wilayani Bagamoyo, Pwani, wakipanga matofali waliyopatiwa msaada na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia kwa Shujaa wa Safari Lager.
Watoto wakitafuta chochote jalalani
Shujaa wa Safari Lager, Paul luvinga (kulia) akimkabidhi, Mwenyekiti wa Kijiji cha Kidomole, matofali 800 yaliyotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
RAIS KIKWETE AMTEUA BW. CLEMENT MSHANA KUWA MTENDAJI MKUU WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA (TBC)
Galleries
|
6 images
|
5 images
|
23 images
|
8 images
|



