Kamishna Msaidizi wa Nishati kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bw, Prosper Victus (alisimama mbele na Kabrasha) akitoa maelezo ya awali wakati wa uwekaji wa saini mikataba
Waziri Ngeleja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Petrobras kutoka Brazil Bw, Samuel Bastos de Miranda (kulia),wakionyesha mikataba waliyoisaini wakati wa hafla hiyo
Ngeleja akibadilisha hati za makubaliano ya utafiti wa mafuta nchini na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Petrobras kutoka Brazil Bw, Samuel Bastos de Miranda
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akifafanua jambo wakati wa uwekaji saini wa mikataba mitatu ya uatafiti wa mafuta kutoka kampuni za nje jijini dsm