Meneja wa Mahusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Badra Masood, akizungumza na waandishi wa habari
Moja ya kontena lenye mitambo ya Aggreco likiwasili leo mchana ubungo jijini Dar es Salaam
Sehemu ya mitambo ya umeme ya Aggreko ikishushwa Ubungo jijini Dar es Salaam tayari kuanza kufungwa na umeme wake kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa
Mitambo ya Aggreko ikishushwa, tayari kwa kufungwa.
Galleries