Hilo ni daraja la Ubungo linalopitisha waji watokayo Kimara lilivyosheheni maji ya mvua ya leo
Duh! mvua ya leo imefunika Daraja linalopitisha maji yatokeayo kimara kupitia Daraja la ubungo likiwa limefunikwa na maji
Gari ya kikosi cha Askari cha Zimamoto cha Uokoaji wakiwa wamewasili eneo la tukio kwa ajili ya kutoa msaada kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo
Wakizi wa Kigogo wakiwa ktk majozi
Nyumba za wakazi hao wa Kigogo waliojenga kando kando ya mto Msimbazi kama zionekanavyo zilivyozingirwa na maji
Baadhi ya askari wa kikosi cha ukoaji wakielekea kutoa msaada kwa baadhi ya watu wawili waliodaiwa kupanda juu ya mti wa Papai kwa dhumuni la kujiokoa
Baadhi ya askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakielekea kutoa msaada kwa baadhi ya watu walioathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa usiku wa kuamkia leo hapa Jijini
Galleries