Mkuu wa JKT wa zamani, Rashid Makame, akiwafariji watoto wa marehemu, Mayunga.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Mayunga, wakiwa Uwanja wa Ndege kuupokea mwili.
Mmoja wa watoto wa marehemu Mayunga, akiwa kwenye gari la jeshi lililobeba mwili wa babao
Juliana Mayunga ambaye ni mjane wa Luteni Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), marehemu, Silas Mayunga, akifarijiwa alipokuwa akilia baada ya mwili wa mumewe kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege za Jeshi, Dar es Salaam.
Galleries