Regina Mengi akimuonyesha Nape utendaji ktk mitambo ya EATV/Radio
Akiongozana na Mhariri wa habari wa ITV, Steven Chuwa
Akielezewa namna matangazo yanavyorushwa ndani ya studio za Radio one
Akimsalimia Zembwela baada ya kuingia katika Studio ya East African Radio.
Akikaribishwa na Mkurgenzi wa East African TV/Radio, Regina Mengi(Kulia)
Akisalimiaka na Mkurugenzi wa Radio One, Deogratius Rweyunga baada ya kutambulishwa kwake na Mkurugenzi wa ITV/Radio One Joyce Mhaville
Galleries