Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akimuelezea Mark Wiessing ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB kazi mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo .