Kocha wa Timu ya Taifa Jan Paulsen akizunguza na mashabiki wa soka katika uzinduzi huo.
Wadau Mourice Njowoka na David kutoka SBL wakishuhudia tukio hilo.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Bw. Dioniz Malinzi akizindua rasmi kampeni ya kushangilia timu ya taifa Taifa Stars inayokwenda kwa jina la Tuko Pamoja na Tutashinda
Mkurugenzi wa Mawasilano SBL Teddy Mapunda akizuingumza na mashabiki wa soka waliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni hiyo katika soko la Karume
Galleries