Baadhi ya wachezaji chipukizi wa Tennis, wakiwa katika viwanja vya Gymkhana Jijini
Kocha wa kimataifa waTennis,Fabrizio Coldarone, akizungumza´na waandishi wa habari jana kuhusu ujio wake na nini Watanzania watarajie kutoka kwake.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezi la Taifa (BMT), akizungumza jana mchana katika ufunguzi rasmi wa kambi ya mchezo wa Tennis, katika viwanja vya Gymkhana jijini
Meneja Uendeshaji wa kampuni ya Tanga Cementi,Erick Westerberg,akielezea kwa waandishi wa habari jana mchana katika viwanja vya Gymkhana
Galleries