Mzuka kwa shabiki wa kitasha
Mzuka unapopandaa ni noma
Mashabiki na kitabu cha SUGU
Soggy Doggy kama kawaida yake
Hichi kibanda cha simuuu
Vitabu vilinunuliwa kweli kweli
Wengine walibebana juu ka juu kwa furaha
Ilikuwa kazi kweli kweli
Sugu moto chini oh oh oh oh
Makini kufwatilia show
Midadi mingine nomaaa
Mashabiki wakisho love na msanii Dj Snox kutoka Mabaga Fresh (Kulia)
Sugu mshabiki na Mbunge wa Ubungo John Mnyika (Kulia) nae alikuwepo kutoa support
Ehh mwanaharakati anaesalitiwa
Diwani wa Sinza Renatus pamba anae alipanda jukwaani kukumbushia enzi zake
Mheshimiwa Freeman Mbowe ndani ya nyumba akisalimia mashabiki
Galleries
|
19 images
|
2 images
|
9 images
|
4 images
|



