Vodacom Miss Photogenic 2011, akipozi mbele ya camera. Tracy Sospeter amekuwa mrembo wa pili kutinga nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania.
Warembo Vodacom Miss Tanzania 2011, waliofanikiwa kuingia tano bora ya shindano la Miss Photogenic 2011 kutoka kulia , Trecy Sospeter,Jeniffer Kakolaki, Chiaru Masonobo, Christine William na Glory Lori wakipozi kwa picha ya pamoja
Watumishi wa Vodacom Arusha wakiwa katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, waandaji wa Shindano la Vodacom M's Tz, Hasim Lundenga
Baadhi ya washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakisoma jarida la Vodacom katioka ofisi za Arusha
Mshindi wa taji la Miss Photogenic 2011, Tracy Sospeter kutoka Mkoa wa Shinyanga na Kanda ya Ziwa
Galleries