Afisa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni Hassani Kalinga akimkaribisha Mwakilishi wa UNESCO
Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Hoyce Temu akiwa na walimu wa Shule ya Msingi Tandale pamoja na wafanyakazi wenzake
Afisa Habari wa UN Information Centre Usia Nkhoma Ledama akitafsiri kwa lugha ya Kiswahili Hotuba iliyokuwa ikitolewa
Mafundi wakiendelea na kazi ya kukarabati
Mwakilishi wa UNESCO na Mratibu Mkazi mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Vibeke Jensen akizungumza mbele ya Walimu na madenti
Kazi ni Kazi
Wafanyakazi wa UN na Mateacher wa Skonga ya msingi Tandale wakionyesha Umoja wakati wa kazi hiyo.
Wafanyakazi wa UN mzigoni
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandale wakishangaashangaa
Baadhi ya wafanyakazi wa mashirika la Umoja waliohudhuria show hiyo
Wafanyakazi wa UN wakisililiza kwa makini hotuba ya Bi. Vibeke Jensen.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Tandale Bi. Lucy Mwakibete akitoa shukrani za Shule kwa UN
Urembo pembeni kazi kwanza, Hoyce Temu akishiriki zoezi zima
Mwakilishi wa UNESCO na Mratibu Mkazi mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Vibeke Jensen akionyesha mfano kwa vitendo
Galleries


