Saini zikiendelea
Waziri Magufulli akibadilishana mawazo na Waziri Kabaka
Mtaalamu wa Ujenzi wa Madaraja kutoka nchini Misri,Eng. Shwaibu akitoa maelekezo ya namna ujenzi huo utakavyokuwa
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Eng. Patrick Mfugale akitoa ufafanuzi wa jambo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii, Dkt. Ramadhan Dau akifafanua jambo
Mkuu wa Mkoa wa Dsm, Mh. Said Meck Sadick akihutubia katika hafla hiyo
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akihutubia katika hafla hiyo
Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufulli akihutubia wakati wa hafla ya utiliaji wa saini wa mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni
Wakibadilishana documents
Honrereni kwa kufanikisha
Picha ya mfano wa Daraja hilo la Kigamboni
Galleries