• You are not yet logged in,
  • Log In or Register
  • .
Search
darhotwire
  • Home
  • HABARI
  • MIDUNDO
  • MAHUSIANO
  • FILAMU
  • MAPISHI
  • VIOJA
  • Forums
  • Gallery
  • Chat
  • MEMBERS
  • ARCHIVES
  • ADVERTS
Share |

Uzinduzi wa Filamu ya Mr.President

Akimkabidhi JB moja ya CD yenye filamu hiyo baada ya msanii huyo kuinunua kwa shilingi laki mbili.

Kamata akiwaangalia  wasanii wakisakata muziki.

JB akifurahia jambo.

JB akifurahia jambo.

JB (kulia) akiimba wimbo wa rumba na Steve Nyerere na Ray.

Msanii Ray akiwa jukwaani baada ya kuitwa na msanii mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (hayupo pichani).

Wacheza filamu mashuhuri, Chiki Mchoma ‘Chiki’ (kushoto) akiteta jambo na Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’.

Msanii Wema Sepetu (katikati) akiwa na rafiki zake.

Msanii aliyejipatia umaarufu mkubwa kwa kuigiza kama mchungaji, Emmanuel Myamba, akifuatilia uzinduzi huo

Mkurugezi wa ASET, Asha Baraka akichagua moja kati ya CD hizo.

Ray akiteta jambo na mmoja wa wabunge waliohudhuria hafla.

Akimkabidhi Ray ambaye pia aliinunua kwa kiasi hicho cha fedha.

Mgeni rasmi wa uzinduzi huo ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu wa Mkoa wa Geita, Mh. Vicky Kamata, akifungua CD ya filamu hiyo

Galleries

11 images
Vodacom Miss Tanzania hawa hapa
Warembo wa Vodacom M's Tanzania
5 images
Simba ilipoiadhibu Kiyovu 2-1
Simba ilipoiadhibu Kiyovu 2-1
24 images
Yaliyojiri Tamasha la Anti-Virus Vinega, Viwanja vya Ustawi wa Jamii
Tamasha la Anti-Virus Vinega, Viwanja vya Ustawi wa Jamii
4 images
Maandamano ya Chuo Kikuu Muhimbili
Maandamano ya Chuo Kikuu Muhimbili

Top Stories

  • Dimpoz kuzindua ’Baadae’ Jpili!
  • Miss East Africa 2012 yaunguruma
  • Ngwasuma kuvamia jukwaa la Dar LIive
  • Kiungo wa Simba afariki dunia
  • Nauli za Daladala kupanda muda wowote!
  • Redds Miss Kurasini 2012 yabisha hodi
  • BouNako 'Jembe la Kaskazini'
  • Washindi 'Kili Talent' wafikia 12!
  • Watoto wa Msimbazi wakubali matokeo
  • Badala ya Devil Kingdom sasa ni Gods Kingdom
  • About Us
  • Contact Us
  • Login