Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Dsm, Bw. Songoro Mnyonge akimkabidhi mshindi wa kwanza wa Vodacom Miss Sinza Felista Philip zawadi ya shilingi 600,000
Vodacom miss Sinza Felista Philip akipunga mkono baada ya kutwaa taji hilo ktk shindano lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.Kushoto ni mshindi wa tatu Husna Maulid na mshindi wa pili Naomi Jones .