Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw. Salum Mwalim (kulia)akitoa maelezo kwa Meneja Mwandamizi wa Programu wa Taasisi ya mawasiliano ya jumuiya ya Madola - CTO Lesantha De Alwis kupitia huduma za m pesa na MWEI
Mkuu wa Huduma za kifedha wa kampuni ya Vodacom Jacques Voogtz akiwasilisha mada juu ya njia za kusaidia maendeleo vijijini kupitia teknolojia za mawasiliano ya simu katika mkutano wa mwaka wa taasisi ya mawasiliano ya Jumuiya ya Madola - CTO
Rais Dk. Jakaya Kikwete akioneshwa na Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw. Salum Mwalim fulana ya Vodacom yenye logo na rangi mpya za kampuni hiyo
Rais Dk.Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Meneja mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw Salum Mwalim jinsi ambavyo Vodacom inavyochangia maedeleo ya vijijini kupitia teknolojia ya simu ya mkononi