Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akizungumza jambo na warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkaribisha mshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, Loveness Flavian katika Jumba la Vodacom
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwakaribisha mshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba (katikati) akigonganisha chupa za shampeini na warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakigonganisha glasi zao za shampeni muda mfupi baada ya warembo hao 30 kuingia katika Jumba la Vodacom