Redds Miss Ilala 2011, Salha Israel (katikati) akiwa na Mshindi wa pili Alexia William (kushoto) na Mshindi wa tatu Jenifer Kakolaki baada ya warembo hawa kutangazwa washindi na wote kuingia katika kambi ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika mapema mwezi ujao.