Stars :
Hemedy, Jenifa Kyaka, Jacqueline Wolper Juha ni mwenye kujua, asiyejua siju juha...hebu achana na tamaa ya kuingiza mkono kwenye mzinga wa nyuki bila ya idhini toka kwa Malkia wa mzinga huo.
Kwani maisha hayapo hivyo, siku zote ukitaka kilicho kizuri unahitaji jitihada za makusudi..yote hayo yamo ndani ya mapenzi...Wahi sasa nakala yako usingoje kuhadithiwa kila siku
