Share |

Trinita

Director : 
Lucy Komba
Mtunzi : 
Lucy Komba
Producer: 
Poyaga Production
Stars : 
Lucy Komba, Angel Dominic,Hemed Kavu

Trinita hakuna kinachoshindikana chini ya jua, lakini vyote vinaitaji mipango madhubuti ili kufikia malengo... mambo yakiwa mabaya upande wako basi ujue ndio muda wa kujipanga na kufikiria kilichotokea ili usirudie makosa kwa kile unachotarajia kufanya...unafahamu kilichomo ndani ya Filamu hiyo? Wahi sasa nakala yako zimebaki chache