Director :
Jacob Stevene
Mtunzi :
Jacob Stevene
Producer:
Jerusalem Film Company
Stars :
Kajala Massanja, Issa Musa, Jacob Stevene .....Kukutana kwetu ilikuwa kwa habati mbaya tu. Nilikuwa sijawahi kumuona hata siku moja, lakini ghafla nilimuona akitokea kwenye bafu la chumba changu...sikuwa namhitaji naye hakuwa anahitaji..Ndoa inaweza kwa ni ya bahati mbaya lakini sio tendo la uongo...
Hayo ni maneno yaliyomo kwenye filamu hiyo....wahi sasa nakala yako iko madukani usingoje kusimuliwa mdau wangu.
