/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Q-Chief, TID wakamatana uchawi!


TID SASA HUO NI UCHOMAJI. KWANINI HUENDE KUSHTAKI POLISI?

* Comment by esmail
* Date Thursday, December 10, 2009
View Original Story

Q kaza buti acha mambo ya local believes huu sio ulimwengu wa style hiyo....

* Comment by t-dav
* Date Thursday, December 10, 2009
View Original Story

kwanini wanakamatana ushawi?

* Comment by gossoris
* Date Friday, December 11, 2009
View Original Story

Hivi wewe Q kwa fikira zako kakuroga kuwa sauti yakoimekuwa mbaya zaidi sasa au kupiga vinanda ushasahau au kutuga nyimbo kakufanya usijuwe? Achenina mawazo hayo nyinyi mnaojiita masupastaa ambao vijana wengi wanakuangalieni nyinyi sasa nyinyi ndiomnaleta upuuzi ganihuo kuwa kakuroga hizo ni itikadi za kike wewe dume angalia wapi umekosa ujirekebishe na sio kuruka kuwa umerogwa.

* Comment by gibson
* Date Friday, December 11, 2009
View Original Story

Top ndio baba yao mzazi

* Comment by madin
* Date Saturday, December 12, 2009
View Original Story

Mi naona wameishiwa mashairi, hivyo kuingia katika fani nyingine, usidhani mchezo mmuziki bila elimu nao ni kazi ngumu kuweza kujenga, katika maisha kuna vitu viwili, navyo ni kuna kupanda na kushuka. sasa mabo ya huyu ni mchawi na yule hivi, aaha mimi nakuwa sielewi vizuri, au ni moja ya single mpya? Acheni hizo bwana kwanza we Q Chief huna hata power ya Mungu umetambuaje mwenzio kuwa mchawi? Acheni bla bla kwanza nyie wote watoto wa kiume fanya kazi nzuri zitkubarika wala hakutakuwa na kuitana wachawi.
anyisile

* Comment by anyisile ghwa kulisu ipimba
* Date Monday, December 14, 2009
View Original Story

wauza sura hao,we mtu maarufu utakuwaje mshirikina

* Comment by noel
* Date Monday, December 14, 2009
View Original Story

Umefulia kisanii unadai uchawi, jaribu kutoa kitu cha maana uone mashabiki wako watakupokea vipi!
Gemu imekuwa ngumu, itafahanika tu! Jitahidi kukaza mzee, mwisho kila mtu atakuwa mchawi wako!!!

* Comment by Alex
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story

Umefulia kisanii unadai uchawi, jaribu kutoa kitu cha maana uone mashabiki wako watakupokea vipi!
Gemu imekuwa ngumu, itafahanika tu! Jitahidi kukaza mzee, mwisho kila mtu atakuwa mchawi wako!!!

* Comment by Alex
* Date Friday, December 18, 2009
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.