/td> Tafuta DHWTangazaTuandikie

Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.

Museveni asafiria usafiri wa kajambanane!


Museveni aache janja ya nyani ya kutaka kuwahadaa waganda kwa kuwadanganya kiasi hicho. Hiyo si kupunguza gharama kwa ajili ya faida ya taifa, hayo ni maandalizi ya kampeni za awali.kwa ajili ya kugombea tena urais
Hayo hata kwetu Tnzania pia yapo, kwa chama tawala kila ifikapo mwaka wa uchaguzi basi mambo mengi hulegezwa, tazama kama ilivyo sas utagundua kuwa vurugu za wafanya biashara za mikononi maarufu wamachinga na askari wa halmashauri ya jiji la Dar es Salaam zimengua kutikana na tunakoelekea,
Kama anataka kufanya usawa na kuruhusu mabadiliko katika Uganda, basi apumzike kuingoza awape nafasi vijana maana hao hata mawazo yao yako aktivu ukilinganisha na ya Museveni.
Huo ni uongo mtupu auze mali zake na kuisaidia bajeti ya Uganda hapo tutaenda sawa. Waganda amkeni msilale, msiwe wabongo, ambao kijana mdogo, amezeeka.
Mwamfupe fred

* Comment by Mwamfupe fred
* Date Monday, December 14, 2009
View Original Story


Archive:

Copyright © 2010 Darhotwire.com All rights reserved.Design by Infocomtechnologies Limited.