Darhotwire.com haitahusika na maoni ya msomaji yeyote
aliyotuma katika ukurasa huu kuhusiana na story zetu.
Binti wa Chenge ahukumiwa
Kwanza nito pongezi kwa hakimu wa mahakama ya wilaya Ilala
kwa kutoa adhabu kwa Binti Chenge kutokana makosa aliyoyafanya, lakini pia nadhani kuna haja ya baadhi ya mambo kuyafanyia marekebisho, hasa katika utoaji wa hukumu,
Mfano unaposema labda naiomba mahakama, kutoa hukumu kali kwa mtuhumiwa ili liwe lifundisho kwa watu wengine,
hii haijakaa vizuri maana haiwezekani, ikatolewa hukumu ya mtuhumiwa mmoja kwa ajili ya watu ambao haijulikani ni lini watafanya makosa, hii ni uonezi kama mahakama imeamua kumfung mtu siku tatu (3)na hivyo, mambo ya kumfunga siku 10 ati liwe lifundisho ni kumfanyia Ufisadi
anyisile ghwa kulisu ipimba
* Comment by anyisile ghwa kulisu ipimba
* Date Monday, December 14, 2009
View Original Story